Social Icons

Wednesday, November 17, 2010

CHEKI UWEZO WA KAMERA YA MATEJA20

WADAU hapa nilitembelea pande za Mikocheni (B) jijini Dar es Salaam, na baada ya kuona mjengo huu kiukweli ulinivutia kiaina, ndipo nikaamua kupima uwezo wa kamera yangu na kuuphotoa kama hivi, kumbuka kufanya hivi wala si ushamba ila ni moja ya kumbukumbu tu!.
Najua wengi mtashangaa kwa nini nimeweka picha kama hizi .
Huu ni mjengo unaotumika kujadili masuala ya nchi yetu huko mjini Dodoma.

0 comments: