Social Icons

Monday, November 22, 2010

WALIO CHAPA LAPA BSS WAONDOKA MAKWAO LEO

Gari linalotumiwa na washiriki hao likitoka ndani ya mjengo wa Kili House tayari kwa safari.
Haji Ramadhan akiwaaga wenzake.
Juma Said (kushoto),akionekana mwenye mawazo muda mfupi kabla ya kuanza safari hiyo, waliokumbatiana (kulia) ni Haji Ramadhani na mwenzake wakiagana.
Chiby Dayo nae hakuwa nyuma kuwaaga wenzake.
Chiby Dayo akimuaga Juma.

Chiby Dayo akiwasindikiza.
Mambo yalikuwa kama hivi...
Joseph Pain naye hakuwa nyuma kutoa mkono wa kheri.
Byaaaaaaaaaaaa.

0 comments: