SPIKA WA BUNGE AKABIDHIWA RASMI BAHASHA YENYE JINA LA ANAYETARAJIWA KUWA WAZIRI MKUU
JK akimkabidhi Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda bahasha yenye jina la anayetarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania muda mfupi ujao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein(kushoto),akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania,Alfonso E.Lenhardt Ikulu Mjini Zanzibar leo.Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein (kulia) ,akitoka nje ya lango la Ikulu na Balozi Mdogo wa China Zanzibar,Li Yiping aliyefika Ikulu mapema leo.
0 comments:
Post a Comment