Social Icons

Tuesday, November 16, 2010

KIJANA ANUSURIKA MAUTI BAADA YA KUGONGWA NA PIKIPIKI


Kijana huyo akiwa amekaa chini kusubiri msaada wa kuwahishwa hospitali.

Kijana mmoja ambaye hakutaka kutaja jina lake, leo mchana amenusurika kifo baada ya kugongwa na pikipiki iliyokuwa ikiendeshwa na raia mmoja mwenye asili ya Kiasia maeneo ya Kijitonyama jijini Dar es Salaam na kujeruhiwa miguuni.
Kijana huyo alisema kuwa ajali hiyo ilimkuta wakati akivuka barabara ili aende kwenye mihangaiko yake ya kujitafutia riziki.


Baadhi ya watu wakiwa wamemzunguka kijana huyo.


Mwendesha pikipiki akihojiwa na polisi juu ya ajali hiyo.

0 comments: