Social Icons

Monday, November 22, 2010

MBUNGE WA IRINGA MJINI APIGWA STOP...


Mbunge mteule wa jimbo la Iringa mjini, Mchungaji Peter Msigwa akiwasiliana na wananchi wake ambao walikwama kufika nyumbani kwake baada ya mapokezi yake kuzuiliwa na jeshi la polisi.


Vibali tofauti vya jeshi la polisi vikionyesha kuruhusu mapokezi na baadaye kuyazuia.


Wananchi wachache waliofika nyumbani kwa mbunge kuutwanga ubwawa na pilau lililoandaliwa kwa ajili ya kujipongeza japo kwa sehemu kubwa pilau lilionyesha kukosa walaji kutokana na idadi kiduchu ya watu waliofika kumpokea nyumbani kwake Kihesa Kilolo.

Picha: Fracis Godwin Blog...

0 comments: