Social Icons

Friday, November 5, 2010

HAPPY BIRTHDAY SHARIFA

Keki iliyokuwa imeaandaliwa katika sherehe hiyo ikiwa mezani muda mfupi kabla ya kukatwa.
Juzikati mfanyakazi mwenzetu wa Johannesburg Hotel Sharifa (kushoto) alisherekea siku ya kuzaliwa kwake, ambapo ilihudhuliwa na baadhi ya marafiki zake kibao mmoja wao ni huyo anaye mlisha keki.
Sharifa akimlisha keki mmoja wa wageni waliyohudhulia sherehe hiyo nyumbani kwake Sinza Makaburini.
Sharifa akikata keki na rafiki yake ambaye jina lake harikufahamika mara moja.
Baadhi ya marafiki zake wakibadilishana mawazo kwenye hafla hiyo.
Majirani zake wakisakata rhumba.

0 comments: