Social Icons

Friday, November 5, 2010

ALI KIBA NA WENZAKE KUTIKISA CHICAGO


Amani na Ali Kiba wakiwa wamepumzika baada ya kurekodi nyimbo na kundi zima la ONE8 jijini Chicago, nchini Marekani.


Ali Kiba na Fally Ipupa baada ya kupigwa picha na kundi lao la ONE8 jijini Chicago, Marekani ambako nyota kadhaa wa muziki toka Afrika wamekusanyika kurekodi nyimbo na video.


Amani akipozi wakati wa kupiga picha za kundi la One8 jijini Chicago, Marekani.


Ali Kiba akiandaliwa kabla ya kupigwa picha.

0 comments: