Social Icons

Friday, November 5, 2010

FAGASON ALIVYOWAPAGAWISHA MASHABIKI STAILI MPYA

Mmoja wa mashabiki wa Bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta Sugu kisima cha Burudani' akicheza staili mpya ya bendi hiyo.
Muimbaji wa kike wa bendi hiyo Janeth Isnika akiwajibika jukwaani.
Mnenguaji wa bendi hiyo Suzani Chugwa 'Queen Suzi' akifuatilia kwa makini shoo hiyo.
Shabiki akionyesha mbwembwe zake jukwaani.
Duu! mambo yalikuwa hivi wadau.
Saulo John 'Fagason' (kushoto) akimchezesha staili mpya mmoja wa mashabiki zake.

0 comments: