Rais JK akiupungia mkono umati uliofurika uwanjani wa Uhuru leo wakati akiingia kwa ajili ya kuapishwa kuwa Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM na baada ya kuwashinda wenzake 6 waliokuwa wakiwania nafasi hiyo ya juu ya uongozi wa nchi.
Walinzi wa JK wakiongoza msafara wakati akiingia uwanja wa Uhuru jijini Dar.
Wananchi waliochelewa kuingia uwanjani hapo walikuta milango imefungwa kutokana na watu kujaa ndani.
Mashuhuda wakishuhudia chini ya ulinzi mkali.
Jeshi lipita kwa ukakamavu kutoa heshima mbele ya rais (hayupo pichani).
Wahudumu wa Chama cha Msalaba Mwekundu wakimbeba mmoja kati ya watu wengi waliozirai baada ya kishindo cha mizinga iliyopigwa uwanjani hapo kwa heshima ya kiapo cha urais.
Wachezaji wa ngoma ya Lizombe ambayo asili yake ni mkoani Ruvuma wakitoa burudani kwenye sherehe hizo leo.

0 comments:
Post a Comment