Social Icons

Sunday, November 7, 2010

MISS TZ ALEJEA NCHINI

Mrembo Anna Daudi na Glory Mwanga walikiwasili jana Uwanja wa Mwalimu JK Nyerere wakitokea Sanya China ambako walikwenda kumpa sapoti Miss Tanzania 2010 Genevieve Emmanuel wengine aliokuwemo katika msafara huo ni pamoja na Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashimu Lundenga, Katibu Mkuu Bosco Majaliwa, na mama wa Miss Tanzania Mary Emmanuel Mpangala.

Miss Tanzania 2010 Genevieve Emmanuel na mshindi wa pili Glory Mwanga (katikati) Genevieve, na Miss Temeke mshindi wa pili Anna Daudi ambao waliwasili jana wakitokea Sanya China katika mashindano ya urembo ya dunia. (Picha na Lino International Agency Limited).

0 comments: