BOZI BOZIANA mwenye (kofia kushoto) akibadilishana mawazo na Mhariri Mtendaji wa Global, Richard Manyota (katikati), Hamis Amigo (wa pili kushoto) na Blasesse Ayembe (wa kwanza kulia) katika Ofisi za Global.
Mkongwe wa muziki wa dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Bozi Boziana alitembelea ofisi za kampuni ya Global Publishers wachapaji wa magazeti ya Uwazi , Ijumaa, Amani, Championi na Risasi na kubadilishana mawazo na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Bozi Boziana (wa kwanza kulia) akiwa na baadhi ya wanamuziki wenzake Blasesse Ayembe (wa kwanza kushoto) na Fayila Boendi (katikati) ndani ya ofisi za Global Publishers.
Bozi Boziana mwenye (kofia kushoto) akiwa na Hamis Amigo (kulia) wakiwa na magazeti ya Global Publishers, Championi na Ijumaa.
Wanamuziki wa Bozi Boziana wakiwa katika pozi ndani ya ofisi za Global Publishers.
0 comments:
Post a Comment