Social Icons

Sunday, November 21, 2010

ANGALIA SWAGGER ZA TAMASHA LA AMKA KIJANA !!

Wasanii mbalimbali jana walitoa burudani katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Tamasha la Amka Kijana, lililofanyika uwanjani hapo na kumalizika kwa mpambano wa soka kati ya timu za Simba na Azam ambapo Wekundu wa Msimbazi walichezea kichapo cha mabao 3-2.


Mkali wa miondoko ya mchiriku, Dogo Mfaume, akifanya makamuzi.

Tanzanite akikamua stejini, nyuma yake ni wasanii wenzake wakiigiza kuwanga katika wimbo wake wa Kafara.


Wanga’ wakifanya vitu vyao.


Hapa wanga wa Tanzanite walikuwa wakimkomesha mbaya wao aliyelala.


Msanii Berry Black (kulia) akimuimbisha Meneja wa Simba, Innocent Njovu.

. Muumini Mwinjuma (kulia), akiliongoza kundi lake la Bwagamoyo Sound kufanya makamuzi kwenye tamasha hilo.

. Mshambuliaji wa Simba, Musa Hassan ‘Mgosi’ (katikati) akiwania mpira sambamba na Mau Ally ‘Bofu’. Kulia ni Himid Mao Mkami wa Azam akiwa tayari kumsaidia mwenzake.

Wakati hayo yakiendelea uwanjani hapo mama huyu alinaswa akiwa kwenye usingizi mzito.

0 comments: