skip to main |
skip to sidebar
UZINDUZI WA TAMASHA LA FILAMU LAFANA WORLD CINEMA
Afisa Habari wa Ofisi ya Umoja wa Ulaya,Henry Lyimo, (kushoto), akiwa na Sajuki na mkewe Wastara usiku wa kuamkia leo New World Cinema.
Afisa Habari wa Ofisi ya Umoja wa Ulaya Henry Lyimo akiwa amepozi na Wasanii mahiri wa filamu hapa bongo,anaefuata ni Slyvia,Wastara,Kanumba pamoja na Sajuki,ambao nao walifika kujionea uzinduzi wa tamasha la Filamu za Ulaya usiku wa kuamkia leo ndani ya New World Cinema.
Baadhi yawageni waalikwa wakiwa kwenye pozi la pamoja mahali hapo.
Kati ya wafanyakazi wa kampuni ya One Plus Communications ambao ni waandaaji wa tamasha hilo chini ya mkurugenzi wao Fina Mango (katikati) wakifuatilia ishu hiyo kwa makini zaidi.
Kundi la Sarakasi la msanii Wane Starlikionyesha makeke yake kwa wageni.
Director wa sinema ya Ping Pong kutoka Ujerumani Mathias Luthardt akifanyiwa mahojiano yanayohusiana na tasnia ya filamu kwa ujumla.
Mkuu wa Kitengo cha Habari ofisi ya Umoja wa Ulaya Tom Vens (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania,Tim Clarke, kwenye uzinduzi wa tamasha la Filamu za Ulaya.
Director wa movie ya Ping Pong kutoka Ujerumani Mathias Luthardt akizungumza machache katika hafla hiyo.
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania,Tim Clarke akizungumza jambo katika uzinduzi wa tamasha hilo.
Tim Clarke akifanyiwa mahojiano muda mfupi kabla ya uzinduzi ndani ya New World Cinema.
Baadhi ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakisikiliza hotuba ya Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania,Tim Clarke (hayupo pichani katika hafla hiyo.
0 comments:
Post a Comment