Mustapha Hassanali akizungumza mbele ya waandishi wa habari muda mufupi kabla ya uzinduzi huo.
Onyesho la mavazi linalojulikana kwa jina la ‘Swahili Fashion Week’ limezinduliwa mapema leo na mratibu wake Mustapha Hassanali katika
Hoteli ya Southern Sun iliyopo Posta jijini Dar es Salaam, onyesho hilo
linatarajiwa kuanza Novemba 4 mpaka 6 mwaka huu katika viwanja vya
Karimjee.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Hassanali alisema katika mchakato huo
pia kutakuwa na maonyesho ya sanaa mbalimbali za asili huku wabunifu
kutoka nchi 24 zinazoongea lugha ya Kiswahili wakishiriki.

Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia zoezi hilo kwa makini.
Mustapha Hassanali (kulia)akiongoza baadhi ya waandishi kuchukua kifungua kinywa mara baada ya mchakato wa uzinduzi kukamilika.

0 comments:
Post a Comment