Mganga Mkuu wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ya Lugalo, Meja Jenerali Salim Salim, akionyeshwa machine ya upimaji magonjwa ya moyo iliyomo katika meli ya China, alipotembelea meli hiyo , katika Bandari ya Dar es Salaam. Kushoto ni Kamanda wa meli hiyo, Bao Yuping na kulia ni Balozi wa China hapa nchini Liu Xinsheng.
Sehemu ya wodi ya wagonjwa mahututi (ICU) ndani ya meli hiyo.
Mkuu wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo, Meja Jenerali Salim Salim, akipewa zawadi maalum na Kamanda wa Meli ya China, yenye vifaa na madaktari wa kutoa huduma za matibabu, Bao Yuping,
alipotembelea meli hiyo katika Bandari ya Dar es Salaam jana.
‘Makamanda wa kike’ wanaofanya kazi katika meli hiyo ambao pia ni madaktari wa magonjwa mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment