Mshindi wa kitita cha shilingi milioni kumi katika mchezo wa SUPA PESA, Kaijage Karonde, akionesha mfano wa cheki aliyopewa kwa ajili ya kuchukua kitita chake.
KAMPUNI ya Frontline inayochezesha mchezo wa kubahatisha wa SUPA PESA, mwishoni wa wiki iliyopita iliwazawadia vitita Vya pesa washindi wa mchezo huo katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam.
Meneja wa mchezo wa SUPA PESA, Natasha Issa, (kulia) akiwapongeza washindi mbalimbali waliojishindia mchezo huo.
Washindi wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Mshindi wa sh. milioni kumi, Kaijage Karonde, (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa SUPA PESA.
0 comments:
Post a Comment