Social Icons

Monday, October 11, 2010

SNURA AMTEKA MISS TZ!!

MCHEZA filamu kiwango kutoka Jumba la Dhahabu Snura Antony Mushi ‘Snura’ ameamua kumteka Miss Sinza 2010 Amisuu Malki na kumdumbukiza ndani ya chimbo la filamu siku chache baada ya kutoka kwenye kinyang’anyilo cha miss Tanzania.
Akiongea na Mateja20 Septemba 10 nuymbani kwao M/nyamala Koma koma, Snura alisema kwamba amelazimika kumteka mrembo huyo kwa sababu amegundua kuwa zaidi ya urembo anakipaji cha kucheza filamu, hivyo basi kwa kuanza atamshilikisha katika filamu ya Sabra inayoandaliwa na Kampuni ya CB Production ambapo Snura ndiye Production manager.
Snura aliongeza kwamba atafanya kila liwezakanalo kuhakikisha anaibua kipaji cha mrimbwende huyo na kwamba hatampa nafasi ya kukipoteza hata siku moja.


0 comments: