
Kama kawa kama dawa mnakumbuka kuwa niliwaahidi kila wiki kuwaletea ishu za mastaa wa Bongo wanaotafuta wachumba, hivi ndivyo ninavyotimiza promise yangu.
Leo nakudondoshea mtoto ambaye ni hot ile kinoma, anaonekana so sexy na mwenye mvuto wa kutosha. Huyu mrembo ni Miss Temeke 2003/04, anaitwa Mariam Omary ambaye by now ni mkufunzi wa mashindano ya urembo hapa Bongo.
Huyu mto bana, amekaa chini na ku-discuss baadhi ya mwenendo wa life na kugudua kuwa anamisi kitu kimoja tu muhimu, yaani mwanaume.
So Mariam ni mtoto wa jijini pande za Mangomeni Morocco, ana age ya miaka 24, muonekano wake kiukweli mtoto ana shepu ya ki-miss na kwamba amelelewa katika mazingira sahihi ya Kitanzania. Hivyo basi, anatafuta mchumba mwenye umri wa kuanzia miaka 28 kuendelea mwenye sifa zifuatazo:
Mfanyakazi wa serikali au kampuni yoyote binafsi.
Awe na akili timamu.
Awe na Elimu ya kutosha.
Awe na uwezo wa kutunza familia na siyo Mariooo.
Awe tayari kupima ngoma.
Are you ready? Na je, una sifa zote hizo? Fanya fasta, mcheki kwa namba 0652-018355
ISSUE HIZI ZITAKUJIA KILA WIKI KUPITIA MATEJA20.
0 comments:
Post a Comment