"Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Na panya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni" - Mwl. J. K. Nyerere
***********************************************
"Mtu mwenye akili akikuambia neno la kipumbavu -ukalikubali,anakudharau!"
Mwalimu Nyerere 01/5/1995
***********************************************
"Mtu mwenye akili akikuambia neno la kipumbavu -ukalikubali,anakudharau!"
Mwalimu Nyerere 01/5/1995
0 comments:
Post a Comment