Social Icons

Thursday, October 14, 2010

MATEJA20 NA MATUKIO MIX!!!

Mapacha wawili Hussein & Hassan wakiwa kwenye picha ya pozi na mkurugenzi wa Kinyaiya Pub Benny Kinyaiya (katikati) ndani ya Club Bilicanas usiku wa kuamkia leo.
Pedeshee Pius Lutta 'Mzee wa Pamba'(kulia),akipozi na rafiki yake Mzungu ndani ya bilicanas Club.
Wadau wa Mateja20, wakipozi katika fukwe za Barakuda Beach Kigambonijijini Dar, katika Bithrday ya rafiki yao Ikuppa aliyeketi mwishoni kulia.
Charles Gabliery 'Chalz Baba' kushoto akijimiminia kilaji ndani ya fukwe hizo nammiliki wa Mateja20 kulia.
Chalz Baba akiwa kwenye mjengo wake maeneo ya Bunju jijini Dar es Salaam.
Akitathimini namna ya kumalizia mjengo wake.
Chalz Baba katika pozi!!
Chalz Baba akipiga stori na mama yake mzazi.

0 comments: