Mshiriki wa BBA 2010 All Stars, Mwisho Mwampamba, ametua Bongo jioni hii akitokea Afrika Kusini alikoenda kushiriki shindano hilo ambako hakubahatika kukipata kitita cha Dola 200,000 zilizoenda Nigeria kwa Uti.,Mwisho ametua bila mchumba wake Meryl ambaye alimvisha pete ya uchumba wakiwa mjengoni. Kuhusu hilo, mrisho alijibu kwa kifupi...she is coming soon!!
...Mwisho akipewa shada la maua mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa mwalimu JK Nyerere jijini Dar es salaam.
...kushoto, mwenye rasta, ni yule ndugu yake aliyekwenda mjengoni wakati wa uchumba wake na Meryl, akisaidia kubeba mizigo ya ndugu yake
...akiongea na wanahabari
...mchuma aliopanda kuelekea hotelini kwake
...Mzee Mwampamba(kati) naye alikuwepo kumpokea mwanae. Kushoto ni mwenyeji wake Mwisho, Furaha Samalu kutoka Kampuni ya Multi Choice Tanzania waandaaji wa BBA.
0 comments:
Post a Comment