Social Icons

Saturday, October 9, 2010

MATUKIO MCHANGANYIKO YA USIKU WA KUAMKIA LEO

Baadhi ya Wanenguaji wa Bendi ya Diamond Musica'Vijana Classic' wakiajibika jukwaani ndani ya Ukumbi wa Meeda Club Sinza jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.
Mambo yalikuwa namna hii kutoka kwa wanenguaji hao.
Star wa Lovely Gamble Macky, akikandamiza msosi ndani ya Ukumbi wa Mzalendo Pub Millenium Tower K/nyama jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
Muimbaji mpya wa Machozi Bendi Steve, akiwajibika stejini.
Macky na Shosti yake wakipata msosi kwa pamoja.
Shyrose Banji (kushoto), akiwa kwenye pozi na mkurugenzi wa Machozi Bendi Lady Jay Dee muda mfupi baada ya kushuka jukwaani.
Baadhi ya Wadau wa machozi bendi wakibadilishana mawazo nyuma ya ukumbi huo wakati burudani zikiendelea ukumbini hapo.
Wasanii wa Filamu kutoka Jumba la Dhahabu wakiwa kwenye pozi ndani ya Ukumbi wa Mzalendo Pub, wakati onesho la Machozi bendi likiendelea.
Shumileta, (kulia) akiwa kwenye pozi na msanii mwenzake Lungi.
Mapozi yaliendele ku-take press kati ya Lungi na Shumileta ndani ya Mzalendo Pub.
Mkurugenzi wa Bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta' Asha Baraka (katikati) akibadirishana mawazo na Shyrose Banji (kulia), kushoto ni msanii wa filamu nchini Lungi naye hakuwa nyuma kusikiliza mawili matatu kutoka kwao.
Rose Ndauka, akiwa kwenye pozi ndani ya Ukumbi huo.
Asha Baraka (kushoto) akipiga stori na Shyrose, nadi ya Mzalendo Pub usiku wa kuamkia leo.
Baadhi ya Wasanii wa filamu wakiwa kwenye picha ya pamoja na Asha Baraka alie mwishoni kulia.
Lilian Mpelembwa, katika pozi.
Lilian katika pozi tofauti.
Elsi Sebastian (kushoto) akiwa kwenye pozi makini na Lilian.
Elsi hakuwa nyuma kuunda pozi kivyake.

0 comments: