Social Icons

Thursday, October 14, 2010

AUNT LULU AREJESHWA C2C!!

'PRESENTA' anayeongoza kwa kuhama hama katika vituo vyake vya kazi bila sababu maalum Lulu Mathias Semagongo, anadaiwa kulejeshwa kazini kwake baada katika kituo cha Televisheni cha C2C, ambapo siku chache zilizopita alikipigwa chini na kukipa kisogo ambapo alikimbiliakushika Kamera katika kampuni ya MP Production .
Akizungumza na Mateja20 sikuchache zilizopita alisema kuwa ameamua kurudi C2C baada ya kufuatwa na kutekelezewa masharti yake ambayo aliwaambia baada ya kumtaka arudi.
Aunt Lulu aliipa kisogo C2C na kwenda kupiga mzigo katika kampuni inayojishughulisha na mambo ya burudani ya MPProduction & Entertainment, ingawa pia hakudumu kwa muda mrefu nakutimkia kampuni ya kutangaza Maziwa, ambako pia hakundumu kwa muda mrefu na kurudi MP Production & Entertainment, na baada ya siku chache amelejeshwa katika kazi iliyomuweka kwenye ramani ya utangazaji C2C.

0 comments: