Social Icons

Saturday, October 16, 2010

MAMBO YA WEEKEND NA MATEJA20!!

Mwanamuziki wa Bendi ya Five Star, Hammer Q akiimba wimbo mpya wa bendi hiyo uitwao ,Uliyataka, sasa utayajutia, katika onesho lao lililofanyika jana usiku katika Ukumbi wa Equator Grill Mtoni kwa Aziz Ally Dar.

Msanii wa maigizo, Lucy Komba akipozi kupigwa picha katika Ofisi za Global Publishers jana.

Mjasiriamali na msanii maarufu Bongo, Husna Poshi ‘Dotnata’ na mumewe Poshi wakipozi kwa picha katika Ukumbi wa Diamond Jubilee mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mnenguaji wa Bendi ya Diamond Musica, Mariam Teketeke akionyesha umahiri wake wa kunengua katika onesho la bendi hiyo lililofanyika jana usiku katika Ukumbi wa Meeda uliopo Sinza jijini Dar,

0 comments: