... Lady Jay Dee akikonga nyoyo za mashabiki wake
... Mashabiki wakiipa 'sapoti' Machozi Bendi
MSANII na kiongozi wa Machozi Band Judith Wambula 'Lady Jay Dee' amewapongeza mashabiki wake waliojitokeza kumpa sapoti usiku wa kuamkia leo ndani ya Mzalendo Pub kijitonyama jijini Dar.
Akistorisha fesi tu fesi na mwandishi wetu mara baada ya kumaliza shoo
ya aina yake, mwanamuziki huyo aliwashukuru mashabiki wake huku
akiamini wao ndiyo chachu kubwa ya mafanikio yake hivyo hawezi kuwabeza
hata siku moja katika maisha yake ya kimuziki.
"Nawashukuru sana mashabiki wangu waliojitokeza kunipa sapoti wao ndiyo
kila kitu hivyo siwazi kuwabeza hata siku moja katika maisha yuangu ya
kimuziki," alisema Jay Dee.
0 comments:
Post a Comment