Social Icons

Monday, October 11, 2010

FM ACADEMIA WAKIKAMUA NDANI YA MBARAMWEZI BEACH

BAADHI ya waimbaji wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma ' wakifanya makamzi ndani ya Ukumbi wa Mbaramwezi Beach Mikocheni jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia leo.
Wanenguaji wa bendi hiyo wakiwa bize jukwaani.

Fundi mitamboo wa bendi hiyo (kulia) aking'ang'anizwa jambo na mnenguaji wa bendi hiyo.
Mmoja wa wanenguaji hao akifuatilia shoo kwa makini, muda mfupi baada ya kushuka stejini.
Alia, hakuwa nyuma kuonyesha makeke yake.
Lilian, akitikisa mkia wake.



0 comments: