Social Icons

Saturday, October 30, 2010

FIVE STAR YAZINDUA MWACHE ANENG'NEKE

Wanamuziki wa Five Star wakiwajibika jukwaani
KUNDI la Taarab la Five Star jana usiku ilifanya onyesho la uzinduzi wa albam yao mpya inayokwenda kwa jina la MWACHE ANENG’ENEKE ndani ya Ukumbi wa Msasani Club uliopo Msasani jijini Dar es Salaam.
Katika uzinduzi huo mwanamuziki mkogwe wa miondoko hiyo Bi. Kidude kutoka Zanzibar na kundi lake ndio alikuwa wa kwanza kupanda jukwaani na kuwaburudisha mashabiki.

Mashabiki wakionyesha umahiri wao wa kurusha roho

Shabiki ambaye alivaa kinguo kifupi naye akionyesha manjonjo yake

Bi Kidude akiimba wimbo maarufu wa Ahmada Umelewa.

Mtangazaji wa Redio ya Time Fm, Hadija Shaibu ‘Dida’ akitaniana na Bi Kidude.

Bi Kidude akisunda pesa zake ambazo ametunzwa na mashabiki wake.

0 comments: