Social Icons

Saturday, October 30, 2010

THEA AFUNDWA USIKU WA KUAMKIA LEO

Winta (katikati) akikata nyonga.
BAADHI ya wasanii wa kike wa tasnia ya filamu nchini, jana usiku walijumuika ndani ya Ukumbi wa Vijana uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwenye Kitchen- Party ya msanii mwenzao, Ndumbagwe Misayo maarufu kama Thea, anayetarajiwa kuolewa hivi karibuni.

Wageni waalikwa wakitimbwilika.

Jack wa Chuz akipata msosi.

Bi. Harusi mtarajiwa, Thea akiwekewa msosi.

. ….akiwaaga wageni waalikwa wakati akiondoka.

0 comments: