Social Icons

Friday, October 29, 2010

MATEJA20 NA PICHA ZA MATUKIO TOFAUTI...

Huwezi amini Mdau, mjengo huu unaonyesha maisha bora kwa kila ... kwamba upo pande za Mkulanga jijini Dar es Salaam, na kwa habari nyepesi nilizozipata wakati nachukua picha hii inasemekana mmiliki wake ndiye kibosile anayetisha kijiji hapo.
Shumileta na mambo ya Red Bull siku chache baada ya kutangaza kuachana na 'Gambe' hapa alikuwa nje ya Club Bilicanas Posta Dar, juzikati.
Baby Boy akijalibu kuunda Swagger.
Mzee wa Pamba akionyesha vijisenti vyake ndani ya Club Bilicanas.
Mnenguaji wa Bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta' akiwa amezimika muda mfupi baada ya kushuka jukwaani ndani ya ukumbi wa Club Bilicanas.
Rehema Chalamilla Ray C wa ( pili kulia) akila Bata na marafiki zake ambao majina yao hayakutamburika mara moja katika kiwanja cha Samaki Samaki Mlimani City jijini Dar juzikati, wa pili 'kulia' ni Jerald Lucas Reporter wa magazeti ya Ijumaa.
Ray C katika pozi.





0 comments: