WAPENDWA..msione kimya leo, tupo mapumzikoni Chadibwa Beach tukipumzisha akili ili kupata nguvu mpya ya jumatatu, na haya ndo baadhi ya matukio yanaendelea hapa Kigamboni kwa staff yote ya GPL...wikiend njema jamani!
...hapa staff wa GPL Mahmoud na Moland wakichuana kucheza Kiduku.
...huyu ni Robi Chacha,, mambo ya taarabu,,,
....wakiwaangalia wenzao wanavyofanya vitu vyao
....baaada ya kucheza Kiduku na washindi wawili kupatikana, kila mmoja ana kula 50,000 zilizotolewa na MD Shigongo!
...wanajipongeza
...mahmoud anafurahia mkwanja...
...ni kujiachia mchangani tu
......kula TANO msomaji kutoka kwa Elvan Stambuli wa Uwazi...
....unahitaji kupumzika sometimes....
....na kujiachia....
....relax kwa upepo mwanana
...mzee wa Zizzou Fashions (kulia) naye alikuwepo kuhakikisha vijana wake wanakula bata kilaini.
0 comments:
Post a Comment