Anajulikana kwa jina la Husna Idd a.k.a Sajenti Kimwana Manywele, hapa yupo ndani ya Boutique yake maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Johannesburg Hotel Mgini Nyamwelo,wa kwanza kushoto akipekuwa pekua baadhi ya documents kwenye Computer na Receptionist wake Sharifa.
Sajenti katika Swagger tofauti ndani ya 'ki' Boutique chake!!!
Eeh! unaona baanaaaa!
Mgini akiwa bize na Computer yake ndani ya Hotel hiyo.
KUBALI ukatae but ukuweli uko hivi, Bwana mdogo huyu ni mwanamuzi wa muziki wa kizazi kipya na anakwenda kwa jina la Bablee, hapo nyuma aliwahi kutamba na kibao cha Kizizi, akitokea katika lebo ya G2 records. So nachotaka kukuambia dogo huyu huwa ana Swagger za hatari awapo kwenye mambo ya Shouting za kazi zake, Cha ajabu zaidi hivi karibuni nilisikia kibao chake cha ChaguaMoja, kikipigwa kwa fujo katika station mbalimbali za radio imani yangu ni kwamba soon atalejea kenye game tena kwa fujo kali japokuwa simsikii tena.
Bablee katika pozi.
Unaona Swagger zake?
Yaani pozi kama mshikaji yuleeeeeeee !!!!!!!