Social Icons

Thursday, September 30, 2010

TAIFA STARS KAMBINI TAYARI KUIVAA MOROCCO


Kocha wa Taifa Stars, Jan Poulsen (kulia) akipata mlo wa mchana.


Kocha msaidizi wa ‘Stars’, Sylvester Marsha (kulia), akiongea kwenye simu wakati wa maakuli. Katikati ni meneja mkuu wa Atriums Hotel, Hudson Msalali, akibadilishana mawazo na makocha hao.

Baadhi ya wachezaji wakichukua chakula muda mfupi baada ya kuwasili hotelini hapo.


Mohamed Banka (wa kwanza kulia) akipata chakula na wachezaji wenzake.


TIMU ya soka ya taifa, Taifa Stars, leo imetua katika hotel ya Atriums iliyoko Sinza-Afrika Sana, jijini Dar es Salaam, kwa maandalizi ya mchezo wa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika 2012 dhidi Morocco katika mchezo unaotarajiwa kufanyika Oktoba 9 mwaka katika Uwanja wa Taifa. Kamera yetu ilifika hotelini hapo na kurekodi matukio kadhaa ya timu hiyo.



0 comments: