Social Icons

Wednesday, September 22, 2010

MTAJI WA MASIKINI NGUVU ZAKE MWENYEWE!!!

Mwendesha baiskeli ya miguu mitatu (Guta) akisafirisha bidhaa huku akishindana na magari jambo ambalo ni hatari kwani inaweza kutokea ajali kama alivyonaswa na kamera yetu leo mchana katika Barabara ya Kawawa eneo la Magomeni Jijini Dar es Salaam.

0 comments: