Social Icons

Tuesday, September 21, 2010

WADAU WA MATEJA20 KATIKA POZI TOFAUTI!!!

Kutoka kushoto ni F.A rafiki yao jina halikupatika AY,Gadna na Alawi Junior wa Top Band, wakila bata ndani ya Thai Village Masaki.
Star wa Lover gamble Make akiwa kwenye pozi makini na rafiki yao Beny Kinyaiya.
Asha Baraka, akikumbatiana na wanae Queen Suzi na Aisha Madinda katika Viwanja vya Leaders Club.
Shumileta & Jacqueline Wolper, Club TCC Chang'ombe.
Hassan Moshi, Beny Kinyaiya na Alawi Junior, ndani ya TCC Club Chang'ombe.
Wasanii wa film waki....

Wadau wa mateja20 katika poziiii.
Kajala, akiekiti upaparaz ndani ya Ukumbi wa Thai Village Masaki.
Kajala, baada ya upaparaz aliamua kuunda pozi na mashosti zake!!!
Talasisi Masela akiwa kwenye pozi na Alawi Junior wa Top Band.
Miss Sinza (kushoto)Amisuu Malk akiwa kwenye pozi la pamoja na dada ake Snura.

0 comments: