Social Icons

Saturday, September 18, 2010

MAFUNZO YA STEVEN SMITH USIPIME!!

Steven Smith (kulia) akiwa na wadau wa mchezo huo wengine ni Maofisa wa Ubalozi wa Marekani.
Baadhi ya wachezaji na makocha wa mchezo huo wakipongezana muda mfupi baada ya kumalizika kwa mechi, zilizokuwa zikiendele katika viwanja vya Leaders Club mapema leo.

……wakimsiliza kwa makini jambo analotaka kuwaambia.

Baadhi yao wakiwa wamepumzika baada ya kunolewa.
…..wakionesha vipaji uwanjani.

Mashabiki wa mchezo huo wakishuhudia.
Na Richard Bukosi
WADAU wa mchezo wa mpira wa kikapu leo wamekusanyika Viwanja vya Leadres Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam. kushuhudia Clinic ya mchezo huo inayoendeshwa na mchezaji wa zamani wa timu ya mpira wa kikapu ya Miami ya nchini Marekani, Steven Smith.
Katika Clinic hiyo unafanyika mchujo wa kuwapata wachezaji wenye vipaji kwaajili ya kuendelezwa na kupelekwa nchini Marekani ambako mchezo huo umeshika chati.



0 comments: