Social Icons

Saturday, September 18, 2010

KAMPENI ZA KWENYE MABANGO

Wataalamu wa kuweka mabango wakiwa kazini kuweka bango linalonadi moja ya sera za Chama Cha mapinduzi mjini Morogoro. Awali sehemu hiyo ilikuwa na bango la kampuni ya simu ya Vodacom. Mwaka huu CCM imetumia mabango kunadi sera zake sehemu za mijini, hasa katika jiji la Dar es salaam.

0 comments: