Juma Nature akifanya makamuzi kama kawaida yake awapo jukwaani wakati wa uzinduzi wa ushirikiano kati ya Clouds TV na MTV Base uliyofanyika usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa MUCH MORE

Nature akiwa kivutio kwa kila aliyehudhuria onesho hilo

...Nature aliwapagawisha mastaa kibao akiwemo Gadner, Madam Rita na Master Jay

Mkali wa hip Hop..ngwea akifanya makamuzi yake
Ali Kiba naye hukuwa nyuma kuburudisha ishu hiyo.
...walishindwa kujizuia kujiachia
'Mzee wa Aladji' Dj Ramoutuley akiwa na dancers wake wakicheza wimbo maarufu wa Aladji
...mambo ya Aladji mpaka chini

CODERED DJs kutoka Kenya: DJ Porgie (kushoto) na Stylez wakifanya vitu vyao
Fide naye hakusita kuonesha manjonjo yake
Madam Rita akishoo Luv na vijana wake...Ali Kiba na Nature (kushoto)

Muosha naye huoshwa!! mpiga Picha maarufu Raqey akiwa na wife

wadau wakifuatilia mpango mzima
Mkurugenzi wa Clouds Entretaiment, Jose Kusaga (kulia) akiwa na Commercial Manager wa MTV, Paul Mayanja mara baada ya uzinduzi rasmi.
Nature akiwa kivutio kwa kila aliyehudhuria onesho hilo
...Nature aliwapagawisha mastaa kibao akiwemo Gadner, Madam Rita na Master Jay
Mkali wa hip Hop..ngwea akifanya makamuzi yake
CODERED DJs kutoka Kenya: DJ Porgie (kushoto) na Stylez wakifanya vitu vyao
Muosha naye huoshwa!! mpiga Picha maarufu Raqey akiwa na wife
wadau wakifuatilia mpango mzima
0 comments:
Post a Comment