Miss Temeke 2003-04 Mariam Omari juzikati alisherekea siku ya kuzaliwa kwake 'Birthday'akitimiza umri wa miaka 27,sherehe hizo zilifanyika nyumbani kwake Magomeni Moroco jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na mastaa kibao wa hapa nchini.
Hii ndiyo Keki iliyotumika kujiramba!!!!
Mariam akikata Keki tayari kwa kuwarambisha wageni wake. Asha Saidi'Sharapovoa' (mbele) akiwa amekumbatiwa muda mfupi baada ya kurishwa keki.Miss Temeke na Shostito wake Mcheza shoo wa Twanga Abdulah Willis 'Zungu' akijipoza .... kwa mchumba wake mara baada ya kula Keki. Mwanamuziki wa Machozi Bendi (wa kwanza kushoto) akimshangaa Silvia muda mfupi baada ya kumnywesha Shampeni.Muandaaji wa Sherehe hiyo akiwa kwenye ya pozi na Rafiki yake mara baada ya kumrisha keki Jannifer Kyaka 'Odama' (kushoto) akirishwa keki na Mariam Zamda Salim (kulia) ... hakuwa nyuma kuishamburia keki hiyo Odama akionyesha keki yake muda mfupi baada ya kuisikilizia utamu Mrembo napozi la kula Keki
Mwanamuziki wa Top Bendi Arawi Junior (nyuma) akijijaribishia ka' staili ....kwa mwenyeji wake
0 comments:
Post a Comment