Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Bongo, Khaleed Mohamed ‘TID a.k.a Sukari’ (kulia), akipokea tuzo yake ya nyimbo bora ya mwaka kutoka kwa mmoja wa waandaaji wa tuzo hizo.
Mwakilishi kutoka Clouds Media Group, Babuu wa Kitaa (kushoto), akipokea tuzo hiyo.
Mmoja wa wanamitindo waliokuwa wakichuana mahali hapo, Pabro Fabiani (kushoto), akikabidhiwa tuzo.
Pabro (wa pili kushoto), akiwa kwenye pozi la pamoja na waandaaji wa tuzo hizo mara baada ya kukabidhiwa tuzo yake.
Baadhi ya wanamitindo hao wakikatiza ukumbini hapo.
Msanii wa filamu Bongo, Yusuf Mlela (kushoto), akipokea tuzo yake ya msanii bora wa filamu 2011.
Wanamitindo walioibuka kidedea, Pabro Fabiani na Asha Said wakiwa kwenye pozi la pamoja.
Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Valentino akitumbuiza na wanenguaji wake.
Washiriki wa mashindano ya mitindo wakikatiza jukwaani.
Mmoja wa wanamitindo hao akikatiza jukwaani.
Wasanii wa kundi la Best of Kino wakitumbuiza.
Baadhi ya mashabiki walijitokeza ukumbini hapo wakifuatilia zoezi hilo.
Kampuni ya Global Publishers & General Enter Prices Limited inayochapisha magazeti ya Uwazi Risasi Championi Amani Ijumaa na Ijumaa Wikienda, Usiku wa kuamkia leo imepewa tuzo ya gazeti Bora lililoandika habari za jamii kupitia gazeti la Uwazi kutoka kwa Kampuni ya Smiling Faces zilizofanyika katika Ukumbi wa Regency Park Hotel Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Wengine waliopata tuzo ni Kampuni ya Clouds Media Group kupitia kipindi chake cha Leo Tena, Muandaaji Bora wa Video 2011, ambapo imechukua kampuni ya Erinike, Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka ikienda kwa Haleed Mohamed ‘TID a.k.a Sukari’
Kampuni ya Steps ikichukua tuzo ya Video Bora za waka,
Tuzo ya Mbunifu bora wa mwaka ikienda kwa Gabriel Molely, Tuzo kwa runinga bora ilienda EATV Kupitia kipindi cha Nirvana,
Tuzo ya uandaaji bora wa vipindi vya TV ilichukua TBC 1, ambapo tuzo ya kipindi kinachorusha mambo ya filamu bora ilichukua Clouds kupitia Take One, Msanii Bora wa Filamu Yusuf Mlela, huku tamthiliya bora ya mwaka ikichukuliwa na Tuesday Kihangara ‘Mr Chuzi’ kupitia Tamtiliya ya Red Apple na mwanamitindo Bora a
0 comments:
Post a Comment