Social Icons

Tuesday, December 13, 2011

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI

Rais Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uturuki aliyemaliza kufanya kazi nchini Dr. Sander Gurbuz aliyekwenda kumuaga leo Jumanne Desemba 13, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam. (PICHA NA IKULU)
Rais Kikwete akiwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Bi. Tonia Kandiero aliyemtembelea leo Jumanne Desemba 13, 2011 na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Kikwete akiongozana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Bi. Tonia Kandiero wakati mwakilishi huyo alikpokwenda kumuona Ikulu leo.

0 comments: