NDOVU, SPECIAL MALT YAJA NA KAMPENI MPYA YA ANGALIA KWA MAKINI
Bw Gaudens Mkolwe, mpika bia wa Tanzania Breweries Limited (TBL) akiongea na waandishi kuhusu kampeni mpya ya Ndovu “Anagalia kwa makini” leo jijini
Natalia Celani, Meneja Masokowa Tanzania Breweries Limited (TBL) akiongea na waandishi baada ya uzinduzi wa kampeni mpya ya Ndovu jijini Dar es Salaam
Natalia Celani, Meneja Masokowa Tanzania Breweries Limited (TBL) akiongea na waandishi baada ya uzinduzi wa kampeni mpya ya Ndovu jijini Dar es Salaam
Bw Gaudens Mkolwe, Mpika bia wa Tanzania Breweries Limited (TBL) akijibu maswali kutoka kwa waandishi baada ya kuzindua kampeni ya “Angalia kwa Makini”. Kushoto kwake Pamela Kikuli, Meneja Bidhaa wa Bia ya Ndovu
PRESS RELEASE
Ndovu Special Malt imekuwa chaguo la wanywaji wengi wa bia nchini
Ndovu ilithibitishwa kuwa na kiwango cha kimataifa pale iliposhinda tuzo ya juu ya Grand Gold katika tuzo za Monde Grand Selection mwaka 2010. Tuzo hizi za “Grand Gold” hutolewa kwa bia zenye viwango vya ubora unaoazia asilimia 90 mpaka 100. Mpaka sasa tuzo hii imetolewa kwa Bia ya Ndovu pekee.
Ni nini kinachofanya Ndovu iwe Bia ya kipekee?
Meneja wa bia ya Ndovu, Pamela Kikuli alisema “Ndovu ina kiungo cha kipekee ambacho wanywaji wachache wa Ndovu wanakifahamu. Ni kimea angavu,
Gaudence Mkolwe, mpika bia mkuu wa kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL) alisema “
Natalia Celani, Meneja masoko wa Ndovu amesema “ Kampeni hii itatangazwa kwenye magazeti, mabango na kwenye baa mbalimbali hapa nchini. Pia kuna tangazo la redio linaloelezea jinsi kimea hiki kinavyoifanya bia ya ndovu kuwa ya kipekee, hivyo fuatilia kampeni hii na
0 comments:
Post a Comment