Social Icons

Saturday, December 31, 2011

MAZISHI YA MTANGAZAJI WA TBC 1 HALIMA MCHUKA YALIVYOKUWA

Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania ,Clement Mshana akisoma wasifu wa marehemu katika Makaburi ya Msasani jijini jana mchana.
Waziri wa Habari, Vijana na Utamaduni Dk. Emmanuel Nchini akihutubia kwenye mazishi ya Halima, makaburini.

Ndugu wa karibu wa marehemu Halima akitoa shukrani baada ya mazishi.…

Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania ,Clement Mshana akisoma wasifu wa marehemu katika Makaburi ya Msasani jijini jana mchana.
Waziri wa Habari, Vijana na Utamaduni Dk. Emmanuel Nchini akihutubia kwenye mazishi ya Halima, makaburini.

Ndugu wa karibu wa marehemu Halima akitoa shukrani baada ya mazishi.


Aliyekuwa Mtangazaji wa Shirika la Habari la Uingereza (BBC) Abdalah Majura akiwa anaongea na wadau wa habari kuhusina na msiba huo.

Mtoto wa marehemu Halima ambaye hakufahamika mara moja jina lake akilia kwa uchungu mara baada ya mazishi hayo.

duwa ikisomwa

Waziri wa Habari, Dk. Emanuel Nchimbi akijiandaa kuondoka makaburini hapo.

ALIYEKUWA mtangazaji maarufu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC1), Halima Mchuka amezikwa leo katika Makaburi ya Msasani Jijini Dar es Salaam.

Halima ambaye alifariki dunia usiku wa kuamkia jana kwa ugonjwa wa shinikizo la damu baada ya kuanguka ghafla akiwa kazini kisha akakimbizwa katika Hospitali ya Dar Group na akahamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi. Hata hivyo akafariki dunia.

Halima Tulimpenda sana lakini mwenyezi Mungu alimpenda zaidi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi AMINI.

0 comments: