Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrandy mwakilishi wa kampuni ya Safaricom kutoka nchini Kenya katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo,katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer. Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrandy kwa Mwamvita Makamba Ofisa Mkuu wa Masoko na mahusiano wa kampuni ya Vodacom kushoto, katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer na kulia ni Ofisa Bidhaa wa Vodacom Joseline Kamuhanda. Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrandy Mwakilishi wa kampuni ya TIGO katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo,katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrandy Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti SBL Ephraim Mafuru katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo,katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer.
Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrandy Mkurugenzi wa Kampuni ya Konyagi na wafanyakazi wake katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo,katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer. Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrand Mkurugenzi wa Clouds Fm ,Bw. Joseph Kusaga, katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrand East Africa Jawad Jaffer, katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni yaliyofanya vizuri katika ubora wa viwango vya bidhaa na kukubalika kwa walaji, katika hafla inayofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, ambapo makampuni mbalimbali yatapata tuzo hizo kutoka kwa taasisi hiyo, Kituo cha redio cha Clouds ni kituo pekee kilichofanikiwa kupata tuzo hiyo ya Superbrands hapa nchini. Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal akimkabidhi tuzo ya Superbrandy Bw. Charlse Kimei mkurugenzi wa CRDB , katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer, katika hafla ya kutoa tuzo kwa makampuni yaliyofanya vizuri katika ubora wa viwango vya bidhaa na kukubalika kwa walaji, katika hafla inayofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam
Kitabu chenye orodha ya makampuni yanayofanya vizuri kwa nchi za Afrika Mashariki kikiwa kimebebwa kwa staili ya kifalme huku ikisindikizwa kwa ngoma na vifijo.
Mgeni rasmi Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu wakipokea kitabu chenye orodha ya makampuni yanayofanya vizuri kwa nchi za Afrika Mashariki kutoka kwa Mkurugenzi wa Mradi wa Superbrandy East Africa Jawad Jaffer.
Wageni waalikwa wakiwa katika picha na mgeni rasmi Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu.
0 comments:
Post a Comment