Social Icons

Sunday, November 27, 2011

TAMASHA LA STREET UNIVERSITY LARINDIMA ARUSHA

..Tamasha la Street University linaendelea hivi sasa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume jijini Arusha na pichani ni sehemu ya umati uliyopo uwanjani hapo hadi sasa.

....baadhi ya wasanii wa Glorious Singers wakiwa jukwaani wakitumbuiza

...mmoja wa wahamasishaji wa Street University, James Mwang'amba, akifuatilia semina ya Ujasiriamali katika ukumbi wa Corridor Spring Hotel jana

...Eric Shigongo akitoa darasa la ndani la Ujasiriamali ndani ya hotel ya Corridor Spring Hotel jana jijini Arusha



0 comments: