MWANAMUZIKI CABO SNOOP TOKA ANGOLA ATUA NCHINI KWAAJILI YA SHOO YA JUMAPILI LEADARS CLUB
Msanii mahiri kutoka nchini Angola,ambaye kwa sasa anatamba na nyimbo zake kadhaa hapa nchini,ikiwemo wimbo wa Prakatatumba na Windeck,baada ya kulitikisha jiji la Nairobi kwenye tamasha la Tusker All Stars 2011 lililofanyika jana,jioni ya leo ametua jijini Dar kwenye uwanja wa Kimataifa wa JK Nyerere akiwa ameambatana na Crew yake,msanii huyo anatarajiwa kutumbuiza Oktoba 9, ambayo itakuwa ni siku ya kifamilia a.k.a Family Day kwenye viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar.Pichani mlangoni shoto ni Cabo Snoop akiwa ameambatana na mwenyeji wake kutoka Kampuni ya Prime Time Promotion,Balozi Kindamba,mbele kabisa ni Meneja wa msanii huyo.
0 comments:
Post a Comment