UFUNGUZI WA MKUTANO WA UJENZI SEHEMU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50
· Rais Jakaya Kikwete akitambulishwa kwa Waziri wa Barabara wa Kenya (kulia) Mh. Franklin BETT na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (kulia) alipowasili kwenye ufunguzi wa Makandarasi na Wahandisi jana Mlimani City jijini Dar es Salaam, ikiwa sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya sekta ya Ujenzi.
· Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi Mkandarasi bora anaechangia michango ya huduma za jamii katika sekta ya ujenzi Bw, Dismas Masalu Dede wa kampuni ya ujenzi Dema.Contruction.
· Mkandarasi Bora Mwanamke nchini kutoka kampuni ya IIBRA Building Contractor and General Supplies LTD Bi Maida Waziri akionyesha cheti chake baada ya kukabidhiwa na Rais.
Baadhi ya Wakandarasi waliohudhulia ufunguzi wa mkutano huo Mlimani City.
· Baadhi ya wanafunzi bora waliofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi wakiwa katika ufunguzi wa mkutano wa Wahandisi na Wakandarasi wa siku 3 uliofunguliwa na Rais Jakaya Kikwete Sept.5.2011 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
·
· Kikundi cha sanaa kikitumbuiza katika mkutano,
· Baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku 3 wa Wakandarasi na Wahandisi nchini wakiangalia gari linalotumia GESI asilia katika banda la maonyesho ta TPDC katika viwanja vya Mlimani Cit.
0 comments:
Post a Comment