RAIS KIKWETE ATUA NCHINI LEO
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia), akisalimiana na waziri mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Kayanja Pinda, muda mfupi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa taifa wa Mwalimu Julius Kambalage Nyerere, akitokea New York Marekani, ambapo alienda kwenye mkutano wa baraza la umoja wa Mataifa na shughuli zingine za kiserikali. wa kwanza kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Said Meck Sadik.
Monday, September 26, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment