Social Icons

Sunday, September 4, 2011

MISS VODACOM 2011 WATOA MSAADA TANDALE

.Baadhi ya warembo wanaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 wakiwa wamewabeba baadhi ya watoto yatima wa kituo hicho mara baada ya kufika kituoni hapo kwa lengo la kutoa msaada wa vyakula mbalimbali.
Miss Africa 2004 Cynthia Kanema (kushoto)ambae alikuwa mgeni rasmi katika show ya Vodacom Miss talent jana iliyofanyika Giraffe Hotel na Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima wa kituo cha Al-madina kilichopo Tandale wakimsikiliza Mkuu wa Itifaki wa kamati ya Miss Tanzania Bw.Albert Makoe kulia akifafanua jambo wakati wa makabidhiano wa msaada wa vyakula mbalimbali kwenye kituo hicho.
Vodacom Miss Tanzania Genevieve Mpangala na Miss Africa 2004 Cynthia Kanema ambae alikuwa mgeni rasmi katika show ya Vodacom Miss talent jana katika hotel ya Giraffe wakikabidhi msaada wa vyakula mbalimbali kwa Kuruthumu Yusuph ambae ni Mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima wa kituo cha Al-madina kilichopo Tandale jijini Dares salaam

0 comments: