Social Icons

Sunday, September 4, 2011

MAMBO YALIKUWA HIVI MIAMI BEACH PARTY STEP UP PLAYER

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Unganda Tasha, akikatiza jukwaani baada ya kumaliza kutumbuiza.
Tasha akikamua jukwaani hapo
Tasha, akionyesha uwezo wake katika kudansi
Mambinti walijiachia hivi na ma brother man.



... walipagawisha ...
Mrembo akitupia kitu cha Castal Light pande hizo.
Tasha akiendeleza makamzi
Mtangazaji wa kipindi cha XXL wa Clouds FM, B2 (wa tatu toka kulia), akiwa katika pozi na masela wake na mtangazaji mwenzake Castor Dickson 'Mwananchi wa kawaida' (wa kwanza kushoto) na mmiliki wa duka la Robby One anayemfutia.

Kundi la makomandoo, wakipagawisha na Young Dee (katikati aliyeshika mic)
Natali (kushoto), akiwa kwenye pozi na pacha wake

0 comments: