JK, USO KWA USO NA VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto), akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha Demoklasia na Maendeleo 'CHADEMA' DK. Wilbrod Slaa, katika moja ya mikutana ya vyama vyao.
Rais Jakaya Kikwete, akifurahia jambo na kukumbatiana na Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba.
WANASIASA wetu wanapokuwa katika harakati za kuomba kura kwa wananchi kwa nyakati tofauti kila mmoja hua anamnanga mwenzake kwa hili na lile na kuonyesha kana kwamba wao ni watu walio na utofauti mkubwa, huku kila mmoja akiwavutia wananchi kwa upande wake.
Kumbe hii siku zote inakua kikazi zaidi, na sahihi kwa viongozi wetu ni marafiki wakubwa na wanaelewana kuliko hata sisi wananchi tunaogombana wenyewe kwa weneyewe eti kwa sababu ya kiongozi wa chama tunachokipenda.
Tuachane na tofauti za kisiasa ili nasi tuwe kama viongozi wetu hawa kwani wao ni kama wachezaji wa Yanga na Simba tu ambao huonyesha upinzani na kusemana vibaya wanapokuwa uwanjani, na viongozi wetu hawa ufanya hivyo wanapokuwa katika majukwaa lakini pembeni wao ni washkaji.
Tuige mfano huu tusiuwane ovyo na kuumizana kama ilivyo sasa huko Igunga ambako wananchi kwa sasa wanafanyiana fujo wao kwa wao eti kisa utofauti wa itikadi za vyama vya siasa.
Picha/stori: Sufianimafoto Blog.

0 comments:
Post a Comment